United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
wamebadilika sana GermanyUrejeo wa Toni umewaongezea kitu
ivi vitimu vya malika sio ata vya kuvipa zamana kabisaSio muda naenda kulala. Hakuna game hapa
Kaka ushauri wako unaninyima hela🙆♂️🙆♂️🤦♂️wamebadilika sana Germany
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio muda naenda kulala. Hakuna game hapa
hahaaaa lakini ndio michuano imeanza mim Germany sina ata imaninao bado hawajakutana na vyuma lazima wateme BungoKaka ushauri wako unaninyima hela🙆♂️🙆♂️🤦♂️
Jina kubwa lakn hamna kituivi vitimu vya malika sio ata vya kuvipa zamana kabisa