Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Fergie anatabasamu huku anaumia.Jukwaa la VIP kuna watu mashuhuri haswaView attachment 3017613
Pia turpin anajitahd sanaUpande wa VAR kuna maboresho makubwa piaView attachment 3017616
Ni refarii mwenye utulivu mkubwa sana, akina Michael Oliver wana cha kujifunza kwakePi
Pia turpin anajitahd sana
Toni Kroos amepiga pass 57 kwa kioindi cha kwanza na zote zimekamilika✅
Uyu jamaa kaniuma Sana kustaafu😢
Hakuna kashkash kabisa golini kwake.
Hii German ya Leo, shape Yake Ni Kama naiona levercuzen ya Alonzo😀
klabu mara nyingi huwa zinatafsri falsa ya national teamHii German ya Leo, shape Yake Ni Kama naiona levercuzen ya Alonzo😀
Sahii kabisa, ukiona mpk kakupa kadi ujue wee umezidi ukorofi. Sema Sasa akiwaga kule ligi ya ufaransa anakuaga kichefchef sana. Anagawa kadi kama njuguNi refarii mwenye utulivu mkubwa sana, akina Michael Oliver wana cha kujifunza kwake
sahii kabisa mkuu😊klabu mara nyingi huwa zinatafsri falsa ya national team