UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Hili kundi je mechi zote zikiisha kwa sare itakuaje? Maana wote wana point 4 watakua.
Ikitokea hivyo wataangalia GD kwa timu zote pamoja na H2H kwa timu zote kisha ikishindikana na hapo wataangalia discipline record kwa kila timu, sasa hapa kama mmepata kadi nyingi za njano inakuwa imekula kwenu...
 
Hii michuano kuna uwezekano robo fainali na nusu fainali zikawa na msisimuko kuliko hata fainali yenyewe.... maana ukiangalia wababe wote wanaopigiwa chepuo kuchukua ubingwa(Portugal,Germany,Spain na France) wako njia moja.
 
Ikitokea hivyo wataangalia GD kwa timu zote pamoja na H2H kwa timu zote kisha ikishindikana na hapo wataangalia discipline record kwa kila timu, sasa hapa kama mmepata kadi nyingi za njano inakuwa imekula kwenu...
Kwahyo inaruhusiwa kupita timu 4 zote za kundi moja kumbe?
 
Kwahyo inaruhusiwa kupita timu 4 zote za kundi moja kumbe?
Umeelewa lakini comment yangu au overcuriosity inakusumbua?

Kwenye hizo factors tatu wanazoangalia haiwezi ikatokea hata mara moja timu zote nne zilingane kwenye kila kitu.

Yaani eti timu zote nne zilingane points, zilingane magoli ya kufunga na kufungwa na zilingane mpaka idadi ya kadi nyekundu na za njano zilizopokea?? Hakuna hicho kitu lazima watatu wenye afadhari watapatikana
 
Lukaku out..
Doku out..
Labda ndio watatoboa..
Naombea Belgium watoke hawapo serious
 
Yes, kuna uwezekano. Timu ya tatu na nne zikiwa na points 4, zitapita kama best losers
Hapana wanachukua wa3 tu kila kundi kama mechi zitaisha sare Ukraine anabaki slovaki Belgium na Romania wanaenda.

Nimegundua hilo baada ya kuona hungry bado yupo kwenye kundi la best looser japo ana point 3 Ukraine hayumo ilihali napoint 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…