Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtangazaji anajitahidi sanaIla haya majina ya wachezaji wa Georgia ni magumu balaaa sanaa
Inaweza ikalalaPortugal kaonwa mapema saivi kawa mtumwa
Portugal kaonwa mapema saivi kawa mtumwa
Sasa mwanangu Ufaransa nayo ya kuiogopa? Msala Germany na Spain labda.Jamaa kiaina flani hivi wanataka wasiongoze kundi ili wawakwepe france kwenye robo fainali
Portugal kaonwa mapema saivi kawa mtumwa
Refa anaziona sanaRefa anatembeza yellow 💛
Goli la mapema huwa linastress sana hawa portugal ni kama wanaanza kupanicJamaa kiaina flani hivi wanataka wasiongoze kundi ili wawakwepe france kwenye robo faina
Sasa mwanangu Ufaransa nayo ya kuiogopa? Msala Germany na Spain labda.
Huo upande ndio ureno anataka kuukimbia kijanjaSasa mwanangu Ufaransa nayo ya kuiogopa? Msala Germany na Spain labda.
Azam waangalie wazaramo tu umo..Chanel gani wanaonyesha king'amuzi cha azam?
Anakimbiaje?
Kutoongoza kwake si kuridhia Georgia amfunge. Bali kumuombea Turkey ashinde huku yeye akipoteza.
At your own risk japo ni kweli Georgia wanapigwa msako sanaPortugal ashinde na 3+