UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Hii nimeikuta kule allfootball app. Daily comment. Baada ya cr7 kufanyiwa sub.


Bro wasn't happy after getting subbed off 😬 This is Georgia and not Georgina So come out and let other player play 😂😂
C&p
 
GOAL! Czech 0-1 Turkey (Hakan Çalhanoğlu)
1719464875099.gif


1719464879086.gif
 
Wapenzi wa soka ebu kila mtu atupe starting 11 yake kwa ujumla baada ya kumalizika mechi za makundi
 
Be manipulative usijibane kwenye kona moja. Kuwa jasiri kwenye options ngumuView attachment 3027470
Kuwa mwepesi kuchukua kinacho wekwa mbele yako.
View attachment 3027471

Kwa mfano hatua zinazokuja usiangalie majina makubwa ya timu bali heshimu kila timu iliyo songa mbele. Hivyo kufungika au kudondosha point tatu itakuwa kazi sana. Kubet direct win FT itakuwa hatari kwa mikeka yako.
View attachment 3027473

Hivyo basi ni bora kuangalia options nyingine.
Umetisha mzee
 
Back
Top Bottom