UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Wapenzi wa soka ebu kila mtu atupe starting 11 yake kwa ujumla baada ya kumalizika mechi za makundi
Kwangu mimi nimeona hiki hapa..

1.Gigi Donarumma

2.Schar 4.Tah 5.Saliba 3.Cucurella

6.Kante 8.Vitinha.

7.Musiala 10.Fabian 11.Foden

9.Kai Havertz

Japo hapo kwa Cucurella nilitamani aingie Trippier ila huyo mcheisee naona kapiga kazi sana hii hatua ya makundi.
 
Asante mtaalam.... Hapo kwa foden mie ningeweka kale kabwana mdogo ka uturuki kalifunga bao zuri dhidi ya georgia.
Naina wachezaji wa pep hawaperform watakuwa wana jambo lao la kushinda kombe la tano mfululizo msimu ujao
 
Naona tathmini yako umelenga majina makubwa tu, yanayojulikana, lakini jifikilie kweli kukosekana kumjumlisha, hata mchezaji mmoja wa austria ilivyofanya vzr kabisa, kwenye kundi gumu, ambayo ilikua, inapewa nafasi ya mwisho, hufanyi dhambi??
 
Unazungumzia Foden wa man city au Foden wa England?
 
Japo England wametu disappoint sana ila so far mpaka sasa Foden ndio ameonesha kiwango kizuri sana kwa uingereza akifuatiwa na Tripper, maana kwanza yeye ndio kapiga mashuti mengi golini kuliko hata akina Kane japo yeye hana goli.

mbali na foden hapo ningeweza kumweka Arder Guler au Florian Wirtz maana hata wao wameuwasha sana moto lakini kwa Foden hawajafika, Foden mwacheni nyie yeye ndio anaonekana kuwa threat kwenye kikosi kizima cha England.
 
Naona tathmini yako umelenga majina makubwa tu, yanayojulikana, lakini jifikilie kweli kukosekana kumjumlisha, hata mchezaji mmoja wa austria ilivyofanya vzr kabisa, kwenye kundi gumu, ambayo ilikua, inapewa nafasi ya mwisho, hufanyi dhambi??
Kwa haraka haraka unaweza kuona hivyo nimepanga kwa kuangalia majina, ila kama ukifuatilia sana utaona mpaka sasa hao wameyatendea haki majina yao tofauti na watu kama Bellingham ambao wameonesha kiwango duni licha ya kupambwa sana na media.

Mchezaji wa Australia ambaye amenivutia sana a ningeweza kumuweka kikosini ni yule DM wao Nikolas Sewald ambaye na yeye sioni akimtoa Kante na Vitinha hapo, maana hawa miamba wawili wana cover uwanja mzima utafikiri wanacheza wenyewe tu uwanjani.
 
hata top skola haingii mkuu?
 
Kwa foden na kai mi nimeshindwa hata kucheka nimebaki nashangaa tu.

Bora hata angemuweka Guller na yule top score tokea Georgia🇬🇪 ningemuelewa kidogo.
Nafikiri muanzisha hii topic alitaka kuona maoni binafsi, na hiki ndicho kikosi bora nilichokiona mimi kulingana na mechi nilizoangalia zingatia neno "nilizoangalia" mechi za England,Ujerumani,Switzerland,France,Denmark,Italy,Croatia nimeangalia zote..... hao Georgia nimeangalia mechi zao mbili tu hii ya mwisho sikuiona.

Na pia mimi sio muumini wa "collective thinking" mnaionesha hapa napendaga kuwasalisha jambo kutokana na utashi wangu.
 
Back
Top Bottom