Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
- #2,781
Kesho saa 1 majira ya Tanzania,
Ndiyo kuna mechi kali sana za kundi E. Timu zote zinakutana zikiwa na alama 3. Yeyote atakayeshinda mchezo wake anapita moja kwa moja.
Ni Slovakia vs Romania
Ukraine vs Belgium
Ndiyo kuna mechi kali sana za kundi E. Timu zote zinakutana zikiwa na alama 3. Yeyote atakayeshinda mchezo wake anapita moja kwa moja.
Ni Slovakia vs Romania
Ukraine vs Belgium