Kwanini? Kwa sababu kakusanya points zote 9?Haya mashindano naona timu ambayo iko vzr bila wasiwasi ni spain??
Kule ulaya mashariki yote kwenye nchi maskini wana majina magumu magumu tu Slovakia,Georgia,Slovenia,Poland,Czech,Albania etcIla haya majina ya wachezaji wa Georgia ni magumu balaaa sanaa
Kwangu mimi nimeona hiki hapa..Wapenzi wa soka ebu kila mtu atupe starting 11 yake kwa ujumla baada ya kumalizika mechi za makundi
Asante mtaalam.... Hapo kwa foden mie ningeweka kale kabwana mdogo ka uturuki kalifunga bao zuri dhidi ya georgia.Kwangu mimi nimeona hiki hapa..
1.Gigi Donarumma
2.Schar 4.Tah 5.Saliba 3.Cucurella
6.Kante 8.Vitinha.
7.Musiala 10.Fabian 11.Foden
9.Kai Havertz
Japo hapo kwa Cucurella nilitamani aingie Trippier ila huyo mcheisee naona kapiga kazi sana hii hatua ya makundi.
Na mimi naliona hilo asee.Hatua za mtoano hazitabiriki, timu zitaingia na mentality tofauti. Mechi ni moja ya kupambana, hivyo makundi watu washasahau, hatua hizi wazee wa kubeti watalia sana.
Austria naipa odd nyingi za kuvuka knockout stage wazee.
- Germany - ubora wa mwalimu
- Austria - ubora wa mwalimu
- Portugal - vipaji vingi, kocha kilaza.
Naona tathmini yako umelenga majina makubwa tu, yanayojulikana, lakini jifikilie kweli kukosekana kumjumlisha, hata mchezaji mmoja wa austria ilivyofanya vzr kabisa, kwenye kundi gumu, ambayo ilikua, inapewa nafasi ya mwisho, hufanyi dhambi??Kwangu mimi nimeona hiki hapa..
1.Gigi Donarumma
2.Schar 4.Tah 5.Saliba 3.Cucurella
6.Kante 8.Vitinha.
7.Musiala 10.Fabian 11.Foden
9.Kai Havertz
Japo hapo kwa Cucurella nilitamani aingie Trippier ila huyo mcheisee naona kapiga kazi sana hii hatua ya makundi.
Kwangu mimi nimeona hiki hapa..
1.Gigi Donarumma
2.Schar 4.Tah 5.Saliba 3.Cucurella
6.Kante 8.Vitinha.
7.Musiala 10.Fabian 11.Foden
9.Kai Havertz
Japo hapo kwa Cucurella nilitamani aingie Trippier ila huyo mcheisee naona kapiga kazi sana hii hatua ya makundi.
Unazungumzia Foden wa man city au Foden wa England?Kwangu mimi nimeona hiki hapa..
1.Gigi Donarumma
2.Schar 4.Tah 5.Saliba 3.Cucurella
6.Kante 8.Vitinha.
7.Musiala 10.Fabian 11.Foden
9.Kai Havertz
Japo hapo kwa Cucurella nilitamani aingie Trippier ila huyo mcheisee naona kapiga kazi sana hii hatua ya makundi.
Unazungumzia Foden wa man city au Foden wa England?
Asante mtaalam.... Hapo kwa foden mie ningeweka kale kabwana mdogo ka uturuki kalifunga bao zuri dhidi ya georgia.
Naina wachezaji wa pep hawaperform watakuwa wana jambo lao la kushinda kombe la tano mfululizo msimu ujao
Japo England wametu disappoint sana ila so far mpaka sasa Foden ndio ameonesha kiwango kizuri sana kwa uingereza akifuatiwa na Tripper, maana kwanza yeye ndio kapiga mashuti mengi golini kuliko hata akina Kane japo yeye hana goli.Unazungumzia Foden wa man city au Foden wa England?
Kwa haraka haraka unaweza kuona hivyo nimepanga kwa kuangalia majina, ila kama ukifuatilia sana utaona mpaka sasa hao wameyatendea haki majina yao tofauti na watu kama Bellingham ambao wameonesha kiwango duni licha ya kupambwa sana na media.Naona tathmini yako umelenga majina makubwa tu, yanayojulikana, lakini jifikilie kweli kukosekana kumjumlisha, hata mchezaji mmoja wa austria ilivyofanya vzr kabisa, kwenye kundi gumu, ambayo ilikua, inapewa nafasi ya mwisho, hufanyi dhambi??
hata top skola haingii mkuu?Kwa haraka haraka unaweza kuona hivyo nimepanga kwa kuangalia majina, ila kama ukifuatilia sana utaona mpaka sasa hao wameyatendea haki majina yao tofauti na watu kama Bellingham ambao wameonesha kiwango duni licha ya kupambwa sana na media.
Mchezaji wa Australia ambaye amenivutia sana a ningeweza kumuweka kikosini ni yule DM wao Nikolas Sewald ambaye na yeye sioni akimtoa Kante na Vitinha hapo, maana hawa miamba wawili wana cover uwanja mzima utafikiri wanacheza wenyewe tu uwanjani.
Kwa foden na kai mi nimeshindwa hata kucheka nimebaki nashangaa tu.nimecheka sana, yani Foden ndani ya kikosi bora ?
Copa AmericaWana sasa leo inakuwaje hamna mechi na sie wengine ndio burudani yetu
Huku dstv hawaonyeshi...nyie mnaangalia kupitia kingamuzi ganiCopa America
Mi naangalia online tuHuku dstv hawaonyeshi...nyie mnaangalia kupitia kingamuzi gani
Nipe maujanja ya online hayoMi naangalia online tu
Nafikiri muanzisha hii topic alitaka kuona maoni binafsi, na hiki ndicho kikosi bora nilichokiona mimi kulingana na mechi nilizoangalia zingatia neno "nilizoangalia" mechi za England,Ujerumani,Switzerland,France,Denmark,Italy,Croatia nimeangalia zote..... hao Georgia nimeangalia mechi zao mbili tu hii ya mwisho sikuiona.Kwa foden na kai mi nimeshindwa hata kucheka nimebaki nashangaa tu.
Bora hata angemuweka Guller na yule top score tokea Georgia🇬🇪 ningemuelewa kidogo.