Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
- #4,441
Chumaaaa
Spain 1-0 Germany
Spain 1-0 Germany
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashabikiaga team mbovuChumaaaa
Spain 1-0 Germany
Ulitaka afanyaje pale?Neuer siku hizi amekuwa mpumbavu sana
Ushasambura mabibo?Unashabikiaga team mbovu
Yah huyo huyoWinga gani? Williams?
Mbona ndiye amekuwa hatari zaidi kipindi cha kwanza?
Kujipostion anazinguaUlitaka afanyaje pale?
Macho yake yalikuwa kwa Yamal.
Kufunga na kufungua, Olmo katungua mbali.
Pale hakuwa na option.