Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ya maana ni ile ya Ronaldo vs Mbappe tu, naingojea kwa shauku kubwa, nawakubali sana wale wamatumbi waliozamia Ufaransa.Mechi inaboa kinoma
Huyo ndo Engine ya Ujerumani mzee we tulia atakushangazaMusiala bora atoke tu
Hatimae kapewa sasaToni Kroos pamoja na faulo zote anazocheza hapewi kadi🤣
Yamal vs Jamal. Kwa leo naenda na YamalOkay. Musiala atoke.