UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Hispania badala ya kuongeza mashambulizi, wao waliridhika na kucheza mchezo wa kulinda goli lao.

Mkakati mbaya sana huo.
Kabisa, kushambuliwa kwa DK 10 ni ngumu sana kuzuia hadi mwisho.
Wameanza kupack basi dk 80
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…