Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
LimepindukaSi ajabu basi la Spain likapinduka ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LimepindukaSi ajabu basi la Spain likapinduka ...
😅😅😅Unashabikiaga team mbovu
Usiwachikulie poa uingereza
Ndani ya miaka mitano wamecheza fainali moja,nusu fainali moja na robo fainali
Uingereza wanapokutana na top five ya ulaya huwa wanabadilika
Sio mchezo umepigwa mpiraKumekucha!!
Hispania badala ya kuongeza mashambulizi, wao waliridhika na kucheza mchezo wa kulinda goli lao.Sio mchezo umepigwa mpira
Naam na hapa walikosea kuwatoa wale madogoMara zote huwa nasema ukicheza defensive game ni suala la muda tu wewe ku concede goli!
The best defense is a good offense!
Kabisa, kushambuliwa kwa DK 10 ni ngumu sana kuzuia hadi mwisho.Hispania badala ya kuongeza mashambulizi, wao waliridhika na kucheza mchezo wa kulinda goli lao.
Mkakati mbaya sana huo.
Strategy yake ni kuzuia, weak one.Kocha wa Spain asingewatoa kuwatoa Yamal & Williams mapema vile..
Ureno huwa sio mnyonge kwa ufaransangoja nisubiri mida ya ronaldo kumwaga machozi😕😕
Wamepeleka moto balaaGermany machine
amini kwamba Ureno anashindaUreno huwa sio mnyonge kwa ufaransa