UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Huyu Southgate mpuuzi amewasikiliza wale wapiga kelele anamuharibu winga wetu Saka anamuweka beki,kama anaona hafai kucheza winga basi amuweke benchi.Ndio maana White alijikataa zake.
 
England kocha wao sijui kakumbwa na nini, nafasi anayo mchezeaha Saka na Bellingham nio nafasi walizo zizoea hajajifunza kwa mechi iliyopita. Halafu sub zake za kipuuzi, unamwacha nje Bowen na Witkins unaingiza watu wa ajabu ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…