Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kuwa underachievers sio kwamba uwe hujafika final, kwani England malengo yake ni kufika final au kuchukua ubingwa?Mnataka nini wakuu?
England on the recent years,have been so good. Euro iliyopita alifika fainali. Akapigwa kwa matuta.
Kombe la Dunia aliishia robo.
Mnataka nini? Form za mechi za kirafiki za FIFA na UEFA Euro qualitiers zimekuwa kali sana..
Okay sawa. Uwaanjani tufungwe na makelele tusipige? Haipo hiyo.
Katika hiyo miaka unayosema angalia wakubwa wenzie Kama Spain, France, Germany, Italy , Portugal. Na hao ndio hushika top 5 ya best leagues in Europe
Wote hao wenzake wamenyanyua makwapa recently