UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Naomba Wajuzi Wa Mambo Wanijuze kwenye Hili, Ile Aliyoshika Yule Beki Wa Spain Jana, Kwa Nini Haikua Penalty?
Kwenye michuano(tournament) yoyote huwa kunakua na pre briefing refereeing hii huamua baadhi ya sheria zitafsirike vipi endapo kutakua na utata, na moja wapo ni hiyo mtu akishika na iwe penalty kwa mazingira gani

Kwa case ya cucurella jana, bega na mkono vilikua chini na na hakukua na big unnatural movements wa vyote viwili. Pia uso wa cucurella ulikua haujacontrate na mkono hivyo maamuzi yakawa hakudhamiria kushika
 
Back
Top Bottom