Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa zurich to qualifyBreel embolo ni mzuri sana akitokea benchi kuliko akianza
Msikimbie wazee.Vijana wa zurich to qualify
Switz kila lenye heri
Hizi mechi sio za kuweka magoli wala straight win, hizi ww dili na yellow cards, offsides, goal kicks na pia labda throw insSijui nijilipue kuwabetia england win!?🙆♂️
Hela hiyo Mkuu. Ni uhakika.Sijui nijilipue kuwabetia england win!?🙆♂️
Naichukia England sababu ya hype na misifa waliyonayo haiendani na uwezo wao kwa groundMsikimbie wazee.
Jqna spain hadi dakika ya 80+ kona 5 kama sokosei, kuna muda option zote zinapoteaHizi mechi sio za kuweka magoli wala straight win, hizi ww dili na yellow cards, offsides, goal kicks na pia labda throw ins
Unataka tuingie kinyonge? Sasa vyombo vyao visiwasifie? Acheni hizo wazee.Naichukia England sababu ya hype na misifa waliyonayo haiendani na uwezo wao kwa ground
Moja ya mtu ambae amenisurprise hii euro na atakua kwenye target dirisha la usajili likifunguliwa ni Dan ndoye. Amekua superbVijana wa zurich to qualify
Sifa iendane na uwezo, England miaka na miaka ni underachievers lakini hype wanayopewa ni kubwa mnoUnataka tuingie kinyonge? Sasa vyombo vyao visiwasifie? Acheni hizo wazee.
Hakuna option rahisiJqna spain hadi dakika ya 80+ kona 5 kama sokosei, kuna muda option zote zinapotea
Corner sijaiweka, corner ni miyeyusho sanaJqna spain hadi dakika ya 80+ kona 5 kama sokosei, kuna muda option zote zinapotea
Kona timu za kiafrica unapata homa kabosaCorner sijaiweka, corner ni miyeyusho sana
Nimesema yellow cards, offsides, goal kicks au throw ins