Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Kuwa underachievers sio kwamba uwe hujafika final, kwani England malengo yake ni kufika final au kuchukua ubingwa?Mnataka nini wakuu?
England on the recent years,have been so good. Euro iliyopita alifika fainali. Akapigwa kwa matuta.
Kombe la Dunia aliishia robo.
Mnataka nini? Form za mechi za kirafiki za FIFA na UEFA Euro qualitiers zimekuwa kali sana..
Okay sawa. Uwaanjani tufungwe na makelele tusipige? Haipo hiyo.
Its coming homeGreatest Of All Time umeweka XI?
Watu tupo tofauti ndugu, mimi betting basiBetting kuacha sio rahisi, mbali na watu kuhisi kupiga pesa huwa pia ni kama hamasa na starehe flanj hiv ukiwa unaangalia mechi
Acha wapigwe tuEngland kocha wao sijui kakumbwa na nini, nafasi anayo mchezeaha Saka na Bellingham nio nafasi walizo zizoea hajajifunza kwa mechi iliyopita. Halafu sub zake za kipuuzi, unamwacha nje Bowen na Witkins unaingiza watu wa ajabu ajabu.