UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Anacheza midfield, ndio top scorer wa Real Madrid kwa msimu huu.

Midfielder kufunga magoli Real Madrid sio kitu cha ajabu, pale hata mabeki kuondoka na 5 or 6 goals per season ni kitu cha kawaida. Bellingham alikuja wa moto baadae akawa tofauti. Didn't deliver as a middle au hata mashuti hayakuomekana.
Mimi nafuatilia kila game ya Real, wale sio Arsenal. Gareth Bale alikuwa one of the 3 giants walioitwa BBC, nani hakumbuki balaa lake? Lakini mwisho wa siku alikuwa anakaa jukwaani hata jezi havai. Sasa usiniambie Bellingham kashamaliza kazi Bernabeu, sisi yetu macho
 
Southgate ni kocha bora wa england kuliko wote waliopita labda anazidiwa na huyo alietwaa wc enzi za kinjekitile Ngwale.
Yeah man! Ukweli mtupu! Katutoa mbali sana!

Nusu fainali ya World cup tena mara mbili, na fainali moja ya Euro.... Tena yote hayo ni maujinga na mauzembe ya wachezaji ila tungetoboa mbali sana!

Garry Southgate kwangu ndio Kocha bora tangu yule wa 1966 wa World Cup mpaka England wakatwaa ufalme wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…