Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
-
- #501
Na alifunga leo.Subiri nikamgoogle
Jana Rwanda Tv niliona walionyesha sijui wao ratiba yao ikojeZBC2 nahis wataonesh game ya saa4 mana saa10 na saa1 hawajaonesha
we unazani Mbappe alivyosema Euro ni Ngumu sana kuliko kombe la Dunia unazani alikua anatania Euro wengi wanajuana kwahyo ukizubaa tu watu wanapita na weweDah hii Euro ukiingia kizembe unagongwa za kutosha, watu hawana masihara
Hata 2018 WC ilikuwa hivihivi hadi walipowashangaza kucheza final, muda bado.Hawana uwezo sasa
Sijui kwaniniAzam wahuni, Leo nimekaa home nikitegemea ZBC 2 watarusha hii gameπ
Kuna dogo ana miaka 16 ni ahatari sanaKiungo cha Croatia kwa umri
Modric - 38
Brozovic - 31
Kovacic - 30
JUMLA = 99
Sasa watawezaje kukimbizana na watoto wadogo akina Pedri
Washapigwa tatu hukoCroatia huwa wanafukuza mwizi kimyakimya. Wanakuacha uoneshe mbwembwe zako wakianza wao wanamaliza mchezo.
Ndicho ninachokiona hapa, Spain pumzi inakata.
Wanakera sana, baridi la Mbeya nimeamua nikae home nikitegemea wataonesha mpiraSijui kwanini
Lamine Yamal. Bongo umri huo madogo wanakuwa bado hawawezi kulala usiku taa imezimwaKuna dogo ana miaka 16 ni ahatari sana
Cheki ratiba ya mechi watakazorushaZBC2 nahis wataonesh game ya saa4 mana saa10 na saa1 hawajaonesha
Hongera mkuu, kama upo Bar anza kuagiza kinywajiKanjibhai staki rushwa this time Niko na big fishes
View attachment 3018143
uyo dogo black mwenye rasta ni williams anacheza Athletic Bilbao ana kaka ake naye anacheza Bilbao ila kaka ake timu ya taifa anacheza GhanaKuna dogo ana miaka 16 ni ahatari sana
Mwingine yule black mwenye rasta nadhani magoli mawili yeye ndie alie changia yapatikane
Expect a comeback to make it 3 - 3 FT.Kanjibhai staki rushwa this time Niko na big fishes
View attachment 3018143
Usimdanganye πππ, kanji hajawahi kufeli kirahisi wait and seeHongera mkuu, kama upo Bar anza kuagiza kinywaji