UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Attachments

  • Screenshot_20240615_195533_Instagram.jpg
    Screenshot_20240615_195533_Instagram.jpg
    167.3 KB · Views: 3
Naona Spain kaachana na kulazimisha falsafa ya kumtaka mda mwingi yeye anamiliki Mpira saizi wamebadilika sana kuna mda naona wanakuacha wew umiliki mpira wao wanakukaba huku wakishambulia kwa kushutukiza na kuna mda wao ndio wanamua wamiliki mpira naona wameamua kuja kivingine ili waendane na uwezo wa wachezaji walionao
 
Back
Top Bottom