Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Leo game imetukataa, ngoja tuone Modric akiingia itakuwaje.Washapigwa tatu huko
Tusubiri come back
Ila 3-0 ni mlima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo game imetukataa, ngoja tuone Modric akiingia itakuwaje.Washapigwa tatu huko
Tusubiri come back
Leo nainjoy mpira ila jana Germany alituzuga pira bovu kama la Makolokolo SC 😡Hii spain inaviungo wakabaji na mabeki washambuliaji
mbona modric yupo toka kipindi cha kwanza na ndio timu captainLeo game imetukataa, ngoja tuone Modric akiingia itakuwaje.
Ila 3-0 ni mlima.
Dah, ndio shida ya kuangalia mpira ukiwa kazini.mbona modric yupo toka kipindi cha kwanza na ndio timu captain
🤣🤣Usimdanganye 😀😀😀, kanji hajawahi kufeli kirahisi wait and see
Spain wanazidi tu kuingiza mashine za kufunga olmo naye kwenye Goli hana mchezo kama Ferran TorresCroatia wametepeta
ila beki nazo kipa anacheza penati wao wanashangaa tuPenalty for Croatia
Pole sana.Aisee nimeweka G-G naona kabisa nalala mapema
VARPenalty for Croatia
Anakosa. Aaagh anamalizia tena
3-1
Ilikua 10 tu mechi 2. Hamna kitu napata.Pole sana.
Cash out kilichobaki.