raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Naona aliingia na bus la timuGigi Buffon ni miongoni mwa wageni mashuhuri waliopo uwanjaniView attachment 3018311
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona aliingia na bus la timuGigi Buffon ni miongoni mwa wageni mashuhuri waliopo uwanjaniView attachment 3018311
Upo kwenye kibanda umiza 😂😂Wenye Azam subirini NBC league...
Miaka 16 ndiyo Babu hivi?
Hiyo ya akiwa mwenyewe nimekosa. Ila pole sana ndio maisha hayaNimelia sana! Ungeniwekea picha akiwa mwenyewe
Unafanya nn ukoHawa ZBC 2 shenz kabisa
kwa Tz ukiwa mpenda mpira ni bora ukawa na dstv unaona michuano mingi nbc angalizia bar au banda umiza ndo unapata mzuka wa ligi.Mnaangalia channel gani Azam TV, ?
jana nilicheki Chama langu Germany ZBC 2 sababu napenda Jamal Musiala leo bila bila sioni channel inayoonesha Azam TV
wew unachuki tu binafsi kijana ana kisura cha kitoto kabisa nazani ata upepo hajanza kumwaga uyuMiaka 16 ndiyo Babu hivi?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
sisi ndio.maana ata vichwa vyetu ni vizito mtu kazoea kuangalia mapira yanachezwa kwenye maviwanja yanamashimo mashimo na akaa anasifa kabisa eti mpira wa leo ulikua mzuri kweli kwa yale maviwanjwa mimi sitakaa ninue Azam maisha yangu yotekwa Tz ukiwa mpenda mpira ni bora ukawa na dstv unaona michuano mingi nbc angalizia bar au banda umiza ndo unapata mzuka wa lig
inawezekana maana Italy nayo imepigana pigana sana vitaHivi izi nchi walishawahi pigana vita?
Upo kwenye kibanda umiza 😂😂