UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Spain wanastahili kushinda hii game. Nitaumia sana wakishindwa kuqualify kwenda fainal.
Bonge la game...
Kwenye fainali ya Uefa nations league mwaka juzi, Spain walicheza vizuri hivi hivi kama wanavyocheza leo, na walianza wao kupata goli.... ila mwisho wa siku wakafa 2-1
 
FB_IMG_17205554524993324.jpg
 
Benzema hakufaidi na timu yake

Yaani kipindi cha last world cup Benzema ndio alikuwa mtamu na Real Madrid kupita maelezo, watu wakamuhoji Deschamp kwanini Benzema haitwi timu ya Taifa? Kwa aibu akamwita, lakini kipindi wanajiandaa na mashindano, Daktari akampima Benzema akasema haondoke kambini mara moja kwasababu hali ya kiafya haruhusiwi kuendelea kucheza mpira. Baada ya daktari kubanwa akasema Benzema hakuwa na tatizo lolote, sema alipokea order kutoka kwa Deschamp amuondoe. Yaani noma sana
 
Back
Top Bottom