Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure....Hii game iishe dakika 90 nilale kesho niwahi kuamka
Bado hajatafuta ni mpaka atafute tena next time 😀😀😀😀😀Didier Deschamps anatafuta rekodi ya kuwa mtu wa kwanza kuchukua World cup na Euro kama mchezaji na baadae kama kocha.
BadoUfaransa wakubali yaishe
Wamekutana na mafundi wa kuchekechaLeo beki ya Ufaransa ni kama anacheza onyango
Tutacheza vibaya na kumtukana sana southgate wakati wa mchezo lakini baada ya dakika 90 tutakuwa fainalEngland nae kesho atalia kama mtoto
Mbape overrated sana.hayupo creative kabisaMbappe kuna namna amepungua makali yake au ndio kakutana na timu kali dhidi yake