Kwenye fainali ya Uefa nations league mwaka juzi, Spain walicheza vizuri hivi hivi kama wanavyocheza leo, na walianza wao kupata goli.... ila mwisho wa siku wakafa 2-1Spain wanastahili kushinda hii game. Nitaumia sana wakishindwa kuqualify kwenda fainal.
Bonge la game...
Wamekutana na timu boraLeo beki ya Ufaransa ni kama anacheza onyango
Wametusikia, vivian ndani, yesu njeNavas uchochoro.
Fabian Ruiz=Guti= Fernando Redondo
Benzema hakufaidi na timu yake, sijui huyu kocha alimkosea niniMimi nataka France itolewe sababu ya huyu umbwa Didier Deschamp. I never liked him. Kitendo alichomfanyia Benzema si cha kiungwana kabisa
Benzema hakufaidi na timu yake
Its coming homeFuraha yangu timu za mchongo zitoke bado England ,timu zinazo tembea kibahati ziki beba ndoo huwa naumia.kama Portugal kipindi kile