Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
KabisaSpain wakabidhiwe tu kombe lao leoleo, maana hio fainali kwao itakua kama kukamilisha ratiba tu.
Fainali yao ilikua ni leo na mechi dhidi ya Ujerumani, kwa kifupi tunaweza sema kwenye michuano hii ya Euro 2024 Spain amecheza fainali 3 [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii game iishe dakika 90 nilale kesho niwahi kuamka
Ufaransa wakubali yaishe
HIi chance ya mwisho ilikuwa ni ya goli kbs ila amekuwa mchoyoMbappe kuna namna amepungua makali yake au ndio kakutana na timu kali dhidi yake
Means na baadae mtapeta?za kwangu zinapeta tu nilikwa na spain,slovenia na netherlands
Yaani kipindi cha last world cup Benzema ndio alikuwa mtamu na Real Madrid kupita maelezo, watu wakamuhoji Deschamp kwanini Benzema haitwi timu ya Taifa? Kwa aibu akamwita, lakini kipindi wanajiandaa na mashindano, Daktari akampima Benzema akasema haondoke kambini mara moja kwasababu hali ya kiafya haruhusiwi kuendelea kucheza mpira. Baada ya daktari kubanwa akasema Benzema hakuwa na tatizo lolote, sema alipokea order kutoka kwa Deschamp amuondoe. Yaani noma sana
Spain wana pumzi sana. Walistahili.
[/QUkacifrance kapita kimazabeSpain ina wachezaii mafundi sana aisee, sio viungo, sio Mabeki, sio Forwards...wote wanajua kucheza na mpira
Sola la mchongo mchongo limepitwa na wakati, walistahili kutolewaMpira una matokeo ya kikatili Sana
Wafaransa wa tandale Sasa tupumzishe akili zetu
Hii spain bado cha mtoto, ile ya akina xavi, iniesta, bosquet, alonso na niesta ilikua balaa, ufaransa wangekula nyingiHIi chance ya mwisho ilikuwa ni ya goli kbs ila amekuwa mchoyo
Ufaransa imekuwaje tena..wafanye kama ile walifanya kwa Argentina.
Waafrica tabu sana sie....wachezaji wanakupwa dah zie wapuuzi kweli kweliuku shimoni tumezoea mshikemshike kwenye afcon mechi haziishi kabla hujasikia tim flani wachezaji wamegoma kuingia uwanjani viongoz wamemega posho ya wachezaji[emoji1787][emoji1787]
Sema mafuvu eboh😁😁Mpira una matokeo ya kikatili Sana
Wafaransa wa tandale Sasa tupumzishe akili zetu
Walikua papatu papatu sanaSok
Sola la mchongo mchongo limepitwa na wakati, walistahili kutolewa