Goli la dogo hatari kweli kweli...wenzetu wanawekeza mwenye youth hamna magumashi. Unaambiwa dogo 16 ukiamgalia sura unaona kabisa huyu mtoto. Njoo kwetu sasa mchezaji u20 anacheza mashinda manne 🤣🤣🤣🤣Spain ina wachezaii mafundi sana aisee, sio viungo, sio Mabeki, sio Forwards...wote wanajua kucheza na mpira