UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

IMG-20240709-WA0059.jpg
 
Spain wakabidhiwe tu kombe lao leoleo, maana hio fainali kwao itakua kama kukamilisha ratiba tu.
Fainali yao ilikua ni leo na mechi dhidi ya Ujerumani, kwa kifupi tunaweza sema kwenye michuano hii ya Euro 2024 Spain amecheza fainali 3 [emoji16][emoji16][emoji16]
Kabisa
 
Yaani kipindi cha last world cup Benzema ndio alikuwa mtamu na Real Madrid kupita maelezo, watu wakamuhoji Deschamp kwanini Benzema haitwi timu ya Taifa? Kwa aibu akamwita, lakini kipindi wanajiandaa na mashindano, Daktari akampima Benzema akasema haondoke kambini mara moja kwasababu hali ya kiafya haruhusiwi kuendelea kucheza mpira. Baada ya daktari kubanwa akasema Benzema hakuwa na tatizo lolote, sema alipokea order kutoka kwa Deschamp amuondoe. Yaani noma sana

Kabisa
 
Back
Top Bottom