UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Mashabikia
Ana sahau kama kuna Gavi na pedri wali tabiliwa makuu pia ila waka po
Mashabiki Maandazi wana tabu sana. Hata hivyo Dogo mwenyewe wanamkuza tu, wameenda mbali hadi kudai ni zaidi ya Mbape daaah...! 🤣

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ana sahau kama kuna Gavi na pedri wali tabiliwa makuu pia ila waka poa
 
Mashabikia

Mashabiki Maandazi wana tabu sana. Hata hivyo Dogo mwenyewe wanamkuza tu, wameenda mbali hadi kudai ni zaidi ya Mbape daaah...! 🤣

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Huyo Mbape ana nini Cha kujivunia? Binafsi namuona kama keshaisha alikuwa anajaribu kushindana na Neymar, Messi pindi wapo PSG ona toka hao miamba waondoke anavyotepeta huko Madrid ndio anaenda kujizika mazima la sivyo afanye kazi ya ziada.

Huyo Lamine dogo achana naye kabisa ni modo wa kuotea mbali kabisa.
 
Hajaisha isipokuwa muunganiko wa Wachezaji wenziye wengi ni wazee ndiyomaana unamwona kaisha
 
Mwisho wa game tukawabomoa ufaransa wenu

Italy nae tukaenda kumbomoa

Brazil nae tukaenda kumbomoa

Argentina 🇦🇷 forever

uzi wenu wa Copa umedoda memekuja huku kuchafua hali ya hewa mupate kujifaraji. Maneno yangu yalikuwa sahihi Copa ni sawa na Cecafa Cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…