UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Usinikatishe tamaa Mkuu. 😂
Kumbe mholanzi wewe

Vijana wenu wengi wanacheza English premier league kwahiyo wanajuana na wajukuu wa malkia

Kwahiyo mechi itakuwa imechangamka

Waholanzi huwa hawajui kulinda goal wao ni km Spain muda wote wanatafuta kufunga

Kwa upande wa uingereza huwa wanapenda kucheza counter attack hasa ikitumia ma winga na mabeki wa pembeni wakimwaga majalo ndani kina hary kane waunganishe ni timu isiyopenda kufunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…