Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
PSG Ina watu tatizo ilikua ni kocha, Christopher galtier hakuwa mzuri, Ila naamini Luis Enrique akipata muda ataiweka sawa. Enrique ni bonge la kochaKupitia hii michuano ndio nimegundua PSG kumbe Wana watu sana, fikiria katikt una mtu kama Fabian Ruiz na Vitinha winga una Barcola, Dembele