Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
PSG Ina watu tatizo ilikua ni kocha, Christopher galtier hakuwa mzuri, Ila naamini Luis Enrique akipata muda ataiweka sawa. Enrique ni bonge la kochaKupitia hii michuano ndio nimegundua PSG kumbe Wana watu sana, fikiria katikt una mtu kama Fabian Ruiz na Vitinha winga una Barcola, Dembele
Hili vibe nimelipenda
Wazee wa vyombo vya habari maana uingereza kwenye media ni kubwa na inatisha sana ila uwanjani sasa hahahahahTusiopendwa tunacheza leo.
Ajabu, mnatuombea Ubaya ila tutashinda. Na mechi za Uingereza zinaongoza kufuatiliwa.
Mkuu tupe Maelezo 😀
Mpira wake unatabirikaFoden hawezi kuwa bora zaidi ya hapa kinachofuata baada ya misimu miwili au mitatu ataenda timu madaraja ya kati