UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

England pamoja na kuwa na top strikers barani ulaya, wamkuwa wanapata shida sana kufunga.

Mtazame Kane, Saka, Palmer, Belligham na Foden, hawa wote ni watu ambao wamefunga magoli mengi katika vilabu vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…