UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Mwalimu wa England aje na mbinu mbadala mechi ya finali, vinginevyo Kwa namna wanavyocheza Spain mapema sana anaenda kushinda 3-1.

We Kocha gani una kikosi kizuri kuliko timu zote Mashindanoni lakini unazidiwa kimbinu na wapinzani wako hadi kulazimika kushinda dakika za Jioni 🙌
 
Football fans situation baada ya weekend hii kuisha.
 

Attachments

  • Screenshot_20240713_210937_Gallery.jpg
    Screenshot_20240713_210937_Gallery.jpg
    254.6 KB · Views: 4
Back
Top Bottom