UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Berlin conference leo

Hapatoshi
IMG_2273.jpeg
 
Mpira wa uleya umekosa mvuto kwasbb ya upendeleo na VAR, wingereza haikupswa kufuka hata nusu fainali, timu mbovu haina mfumo, ila ilipagiwa kundi bomvu, na msaada wa VAR kupewa panati, na kwa 70% anaweza akapeba kombe kisa siasa za uefa......bora mara 100 Afcon alikua na mvuto na var ilikua ya mfano.
Ndio mpira ukiwa hauko upande wako ni unfair ukiwa upande wako furaha
 
Carvajal karudi, Safi
But Nacho alitakiwa kuanza badala ya le normand
 

Attachments

  • 20240714_203643.jpg
    20240714_203643.jpg
    299.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom