Mtatusumbua Sana..Ujumbe kutoka kwa MfalmeView attachment 3038908
KabisaLeo wamechangamka...waki heza hivi dhidi ya spain tutapata ginal nzuri
Wamecheza KIKUBWA SANA, Concentration ya hali ya juu muda wote. Mwisho wa yote SPAIN ni NEXT LEVEL.Leo wamechangamka...waki heza hivi dhidi ya spain tutapata ginal nzuri
Nitakukumbusha hiiSio kila siku jumatano
Spain ata kjwaangalia una enjoy, full burudni. If football is to wim then spain awe bingwa but if luck is to win england atakuwa bingwa.Wamecheza KIKUBWA SANA, Concentration ya hali ya juu muda wote. Mwisho wa yote SPAIN ni NEXT LEVEL.
Ila vyeo vyao vinasound kifaza sana 😁😁Ujumbe kutoka kwa MfalmeView attachment 3038908
Huyu paka huwa mkweliView attachment 3038334
Paka, kawala Kichwa hao Wadachi!!
Kacheza dakika 10 tu
Acheni kuvamia mpiraCole ni zaidi ya foden basi tu
Usilazimishe mahaba yako kwa kila mtuAcheni kuvamia mpira