Unaweza kuwa sahihi ila ndoivyo tu wengne tumeshakuwa Addicted na soka tunaangalia tu hivyo hivyo,Nazario Ronaldo alikuwa sahihi sana kusema soka la siku hizi halisisimui na halina mzuka kabisa .
Huwezi amini sijaanfaoia mechi hata moja ya copa America wala Euro .
Yaani sijui nayaonaje haya machezaji na timu zao hizi .
Nadhani hii ni downfall ya soka
Send him out is a must.Kane ana Gundu hawa England hawabebi hili kombe
Watoto wa Malkia wazee wa dk za mwishoHii fainali imepooza mno utafikiri watu wanalinda Goli la ugenini