Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Ndiyo umeandika nini? Eti hamna kitu huku ukiisifia Defense,au hujui kuwa ndiyo kilichowafanya wafike hapoWaingereza hapa kati hamna kitu aisee..hahahaa sema beki wanayo..
Umesoma vizuri.. Namaanisha katikati.. Defense ipo poa.. Kama umelewa usiniquoteNdiyo umeandika nini? Eti hamna kitu huku ukiisifia Defense,au hujui kuwa ndiyo kilichowafanya wafike hapo
Mbona maladha ya kutoshaMpira hauna ladha ukute Kuna wachezaji wamebet 😂😂
Anamuiga LukakuBellingham ashauriwe huu mwili wake aupunguze kidogo unamfanya anakuwa hana speed na hayupo flexible,
Pia nikimuangaliaga mechi nyingi ni kama huwa anawahi sana kuchoka unakuta dakka ya 60+ tu yeye tayari yupo taabani.
Anatakiwa atolewe, amezidiwa mbinu leo43'
0-0
Mainoo is such a gem