UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Wenzetu Spain walikubali kuanza upya baada ya zama za kina iniesta kupita na kina xavi

Ona sasa wanaanza kuvuna mbegu

England inamzidi ukubwa bwana Southgate

Hili tatizo lipo hata kwa Taifa stars yetu, watanzania zaidi ya milioni 60 wanashindwa mkakati wa miaka 10 kuandaa vijana 25 wa kupeperusha bendera. Wameng'ang'ania wachezaji wa miaka 38 wanaoongopa umri na kila mtu anajua. Tumekalia ubishani wa Simba na Yanga bila kujali maslahi yetu kama Taifa. Ningekuwa na uwezo hawa mashabiki wa hizi timu mbili wangekaa mbali na benchi la ufundi la timu yetu ya Taifa
 
Wanaogopa gharama
 
Williams 🔥🔥🔥player of the match waache uhuni,dogoo hafaii kuendelea kuchezaa Athletic club,Aje Arsenal 🤣
Kabisa huyo dogo mahala pekee panapomustahili kwa sasa ni Arsenal kma sio Barcelona kutokana na aina yake ya uchezaji... akienda kwingineko atakuwa garasa
 
Harry Kane ni Kama Ana Mkosi na Makombe
Dan Olmo before the final.."i held up Harry Kane's curse in Germany and i am not done yet"

1720995637107.jpg

20240715_002900.jpg

Dani Olmo completed his mission yesternight.
 
Inapendeza kuona timu bora ikikabidhiwa kombe.
Pamoja na kwamba mimi ni goner na ningependa sana kuona Saka na Rice wakija na medali za ushindi pale Emirates, ila ingekuwa too unfair Spain kuukosa huu ubingwa, maana ana kila sifa ya kuwa champion kwanzia aina ya wapinzani aliyekutana nao mpaka mpira anaoucheza.
 
Nilishamtabiria baada ya kuitwanga France.
Actually the final of this tournament was played in quarterfinal stage which was Germany vs Spain clash.... baada ya hapo ilikuwa ni kama formalities, yeyote aliyekuwa anapita hapo alikuwa anaenda kuwa bingwa.

Angalia kati ya wapinzani wote waliokutana na Spain ni mjerumani pekee tu ndio alimpa shida, kwanza ndio timu pekee iliyomlazimisha kwenda extra time, ndio timu pekee iliyomzidi ball possesion hasa zile dk 30 za nyongeza na ndio timu pekee iliyomzidi expected goal(Xg) 1.8 kwa 1.6.

Hao wapinzani wengine wote walikuwa wanazidiwa kila kitu.
 
Wenzetu Spain walikubali kuanza upya baada ya zama za kina iniesta kupita na kina xavi

Ona sasa wanaanza kuvuna mbegu

England inamzidi ukubwa bwana Southgate
Kuasimika youth development programmes sio sula la mchezo mchezo etii.... na linahitaji gharama kubwa sana na muda na hilo ni jukumu la vilabu, serikali inahitaji kutoa support tu.
 
Hili tatizo lipo hata kwa Taifa stars yetu, watanzania zaidi ya milioni 60 wanashindwa mkakati wa miaka 10 kuandaa vijana 25 wa kupeperusha bendera. Wameng'ang'ania wachezaji wa miaka 38 wanaoongopa umri na kila mtu anajua. Tumekalia ubishani wa Simba na Yanga bila kujali maslahi yetu kama Taifa. Ningekuwa na uwezo hawa mashabiki wa hizi timu mbili wangekaa mbali na benchi la ufundi la timu yetu ya Taifa
Mfano msuva na Samatta wale viwango hakuna tena wanaziba nafasi za vijana

Pogba angekuwa bongo bado angeitwa national team hata kama hachezi

Tanzania tunaijua sisi hii

Fikiria Sergio Ramos kaachwa Spain sababu wanajua jamaa kashachoka ila ingekuwa huku angeitwa tu

Spain walianza muda ule kujijenga upya baada ya kuona wazi wachezaji wao maji yamefika shingoni

Leo wana kina yamal, Nico, zubimendi, Dani olmo nk
 
Back
Top Bottom