Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Kwa furaha tu kubwa niliyonayo Usiku huu ngoja sasa nitafute Baa ya kwenda Kunywa na Niokote kwa Kumsuuza nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa furaha tu kubwa niliyonayo Usiku huu ngoja sasa nitafute Baa ya kwenda Kunywa na Niokote kwa Kumsuuza nao.
mnakowekaga 😂😂😂Tutaweka wapi sura zetu😂
Kuanzia leoKwani England tumekuwa JKT Ruvu tangia lini?
mganga Paka vipi?Tumezomea sana. Ila mechi hii inauma balaa.
Dakika ya 86? Daaah
Eee kumbe hadi tennes wamebeba, safi sanaKwa furaha walionayo raia wa spain, ndugu yao kawa bingwa wa tennes pale London, na team yao imebeba kombe .
Matokeo yake yataonekana miezi tisa baadae serikali ijipange kupokea watoto wapya

Dah 😂Make spain greater againView attachment 3042639
Waislamu bhana 😂Safi sanaa spain 🇪🇸 YAITAMBUA PALESTINA KAMA TAIFA HURU, hivyo nilikua upande wenu, na sio hao vibaraka wa myahudi, rudini kwenu.
Spain🇪🇸 🇯🇴 free palestine
Vumilia tuu 😂Roho, mwili, akili zote zimeniuma sana, koo linabana uchungu huu, nimeumia sana. pole England 😭😭😭😭
Vitu vyao vyote tena nasema vyote ni top notch'Kwakweli EURO 2024 imefana, Ujerumani walijipanga haswa.
Kila kitu ni top notch. Nakupa vichache Mercedes Benz, BMW, Porsche, VW these ere Beasts among top World's beasts. Kwa usafiri wa treni wana kitu kinaitwa ICE. Kwa ulaya magharibi hana mpinzani. Itoshe kusema Danke 'Schoen Deutsch land'.
Three lions ni simba aliechangamkaMtasaga meno leo
huyu yamal kama sio under 17 vile..... huyu mtoto ana balaaGOAL! Nico Williams slides in the opener with Yamal's assist! Spain 1-0 EnglandView attachment 3042675View attachment 3042675
Timu ya Taifa ya India inaweza ifunga England bila matatizo.
Nilishamtabiria baada ya kuitwanga France.Kuumia kwa kufungwa na Spain? Spain kampiga Croatia, Spain kampiga Italy, spain kampjga Germany, Spain kampiga France na Leo england
Tena hizo mechi zote anashinda na kutandaza boli sio kwa bahati