UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Walker kwnz alikuwa majeruhi ht kabla game halijaanza...lkn amejitahidi sana na England nzima hainaga beki kisiki kama ile...nakumbuka wakati France iko vizuri msimu uliopita kina Gary Neville na Bekham walisema hakuna beki wa kumzuia Mbape zaidi ya Walker

Mimi ninacholaumu ni kwnn Mtu kama Alexander Anold anaachwa wakati timu ikishazidiwa sana...hata Eze na Toney walipaswa kuingia dakika ya 80 hivi
Trent ili acheze inabidi walker akae benchi, na kwa bahati mbaya mechi ya kwanza vs Serbia alicheza kiungo na alikua hovyo sana, Sasa mechi kama hii na mafundi Spain umuweke Kati watakimbiana hao england
 
Back
Top Bottom