UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Ligi huchukua muda mrefu.
Muundo pia, kwenye ligi mshindi hutafutwa kwa points. Wakati michuano huwa na group then knock outs.
Karibu kanda ya magharibi mkuu mkoa wa tabora wilaya mojawapo inayopakana na mkoa wa shinyanga upande wa kaskazini utakutana na mboga hii na suprize kibao
Huko baridi sana
Kuna kipindi nilienda Njombe nilikula ugali na majani ya maboga yaliyotiwa karanga ule msosi ulikua mtamu naukumbuka hadi leo🤸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…