UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

 
Cristiano alipoenda Madrid alipunguziwa majukumu tofauti na alivyokuwa manchester united

Madrid alikuwa anacheza eneo dogo la uwanja tofauti na manchester united alikuwa anarudi deep kwenye

Ni kweli uchezaji wa mbape na Cr unafanana
Je kina vin,na wenzie watakubali wawe kivuli cha mbape?
 
Sio England tu, mimi natabiri Italy kutoka mapema sana

Italy hawana timu nzuri awamu hii
Kuna Ubaguzi Wa Rangi unaonekana dhahiri ktk game hizi.. sijui kwanini Ila ENGLAND...Kuna shida kubwa...

Saka aliishinda Ile game kila mahala. Hakupata msaada alioustahili.
 
Msibishane Kwa mambo ya wakati ujayo hua hayana Facts.

Shusheni Nondo Kwa kubishana juu ya mambo ya wakati uliopo na uliopita hapo ndio kuna facts.🖊️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…