United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Mbappe bado sana yupo kwenye soka afu ishu ya mchezaji kudumu kwenye soka kwa kipindi kirefu ina uhusiano mkubwa sana na maisha ya nje ya uwanja Mbappe ni moja kati ya wachezaji wenye self displine kubwa sana nje ya uwanja.ingekua ni Game style Ndani ya uwanja inaamua mchezaji adumu kwa kipindi Gani basi kina Cristiano had leo hii wangekua wametundika daruga maana Game style ni hiyo hiyo ya kina Mbappe