UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Nafikiria DSTV ataungana na ETV ya majizo kumuharibia biashara AZAM TV ambae ameponea kurusha matangazo haya kupitia ZBC 2.
JE KINGAMUZI KIPI WANAONYESHA MICHUANO HII NA PACKAGE ZIMEKAAJE
Dstv elf 10 tuu mzee, channel number 225,
Achana na huo uchafu wa zbc2/azam mpaka ukae mbali na tv ndo uuone mpira au sura y mchezaji 🤣🤣🤣
 
Jamani tuweke akiba ya maneno England ni miongoni mwa top contenders wa Euro,naona mnaiponda sana wakati hata haijacheza
sio tu tunaiponda ikiwezekana watoke mapema kabisa hutaki kelele kwenye hii michuano watu tunataka tutazame mpira kwa raha na burudani pasipo na makelele
 
Last dance
IMG_1799.jpeg
 
Back
Top Bottom