United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Pigaaaa haooooo Germanyyyyy piga haoooooooo England piga haooooo Spain Germany wanatia huruma sana sizani kama atatoboa salama leo Scotland lazima amtoe udenda Germany pale Munich
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa DSTV wanadai ukiwa na kifurushi chochote Mechi unatazama nazani Had TBC wanaonesha hii michuanoNafikiria DSTV ataungana na ETV ya majizo kumuharibia biashara AZAM TV ambae ameponea kurusha matangazo haya kupitia ZBC 2.
JE KINGAMUZI KIPI WANAONYESHA MICHUANO HII NA PACKAGE ZIMEKAAJE
Tbc hii ambayo katikati ya mechi unaletewa hotuba za MASHAKA BITEKO na NISHATI SAFI YA KUPIKIA.kwa DSTV wanadai ukiwa na kifurushi chochote Mechi unatazama nazani Had TBC wanaonesha hii michuano
Germany ashinde Goli nne kwa kikosi Gani walichonacho ngoja tusubir tuone nini kitatokea ila Germany naona ni moja kati ya Taifa litafanya vibaya sana kweny hii michuanoGermany kesho atafunga goli nne kwa moja au mbili.
Kwenye mkeka over 3.5 single bet unaweka elfu hamsini, Kuna odds 2.65.
Tbc hii ambayo katikati ya mechi unaletewa hotuba za MASHAKA BITEKO na NISHATI SAFI YA KUPIKIA.
SIWAAMINI TBC ASEEE
TBC wezi tu wale ni bora ulipie 25 utazame kupitia 225 au 222 au kweny la liga channel wanaweza pia kuoneshaGermany ashinde Goli nne kwa kikosi Gani walichonacho ngoja tusubir tuone nini kitatokea ila Germany naona ni moja kati ya Taifa litafanya vibaya sana kweny hii michuano
Download app ya HD streamz ina mechi zoteTbc hii ambayo katikati ya mechi unaletewa hotuba za MASHAKA BITEKO na NISHATI SAFI YA KUPIKIA.
SIWAAMINI TBC ASEEE
Mkuu hadi game inaisha bando la elfu 5 nimekula aseee siweziDownload app ya HD streamz ina mechi zote
Kaka kunradhi nimeona havertz ndio anaanza pale mbele hebu ngoja tuone,mkeka nime u cancel😂😂🙆♂️Germany ashinde Goli nne kwa kikosi Gani walichonacho ngoja tusubir tuone nini kitatokea ila Germany naona ni moja kati ya Taifa litafanya vibaya sana kweny hii michuano
Bora ufanye ivyo Germany kapoteana sana kuna game alicheza na Turkish mechi ya kirafi walichapwa kama watoto juzi tu apa katoka kucheza game ya kirafiki na Greece kashinda kwa mbinde kweli ila kwa leo sababu wapo Munich wanaweza kuishinda ila wa sctoshi sio wakuchakulia poa kabisaKaka kunradhi nimeona havertz ndio anaanza pale mbele hebu ngoja tuone,mkeka nime u cancel😂😂🙆♂️
UtaonaKombe letu France italy saizi mmechoka kama Germany
DSTV wametangaza kifurishi chochote mtu anatona. Chanel ni 225TBC wezi tu wale ni bora ulipie 25 utazame kupitia 225 au 222 au kweny la liga channel wanaweza pia kuonesha
Last time pia walisema hivyo hivyo ila Italy akakimbia na kombe.England ndiyo mabingwa wa michuano hii
Tupo hapa kushuhudia..