incredible mimi
Senior Member
- Apr 14, 2024
- 179
- 256
Dstv elf 10 tuu mzee, channel number 225,Nafikiria DSTV ataungana na ETV ya majizo kumuharibia biashara AZAM TV ambae ameponea kurusha matangazo haya kupitia ZBC 2.
JE KINGAMUZI KIPI WANAONYESHA MICHUANO HII NA PACKAGE ZIMEKAAJE
Hawa mbwa cjawai kutamani wabebe kombe lolote, labda kombe la ujiZBC 2 watakuwa live ,,,,,
Natamani England wabebe, lakini hawawezi maneno mengi vitendo zero
Dah JF kila kitu nimehangaika kama lisaa hivi mpaka nilivyoona hii commentDstv elf 10 tuu mzee, channel number 225,
Achana na huo uchafu wa zbc2/azam mpaka ukae mbali na tv ndo uuone mpira au sura y mchezaji 🤣🤣🤣
lipia kifurushi upate burudani sherehe za ufunguzi zimeanzaDah JF kila kitu nimehangaika kama lisaa hivi mpaka nilivyoona hii comment
Nimelipia ndio nilikuwa naitafuta hiyo channel 225 nimeipatalipia kifurushi upate burudani sherehe za ufunguzi zimeanza
ili Kundi la France hapana ni balaaa tupu England angekua kwenye hili Kundi asingetoboaNimelipia ndio nilikuwa naitafuta hiyo channel 225 nimeipata
Wanaibeba Hao sina wasiwasi naoili Kundi la France hapana ni balaaa tupu England angekua kwenye hili Kundi asingetoboa
sio tu tunaiponda ikiwezekana watoke mapema kabisa hutaki kelele kwenye hii michuano watu tunataka tutazame mpira kwa raha na burudani pasipo na makeleleJamani tuweke akiba ya maneno England ni miongoni mwa top contenders wa Euro,naona mnaiponda sana wakati hata haijacheza
kwani Azam hii michuano hawaoneshiWale tunaomshangilia alie tujengea reli na majengo yasiyobomoka tujuane mapema.
Wenye Azam na Startimes msikauke hapa najitolea kuwa nawapa update😂
Kama kawaida yao, wana mechi zao chachekwani Azam hii michuano hawaoneshi