UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

mchezaji gani aliyetandika Goli tano peke ake kwenye mechi za qualification umtaje uyo mchezaji Top score Romeo lukaku kaishia kufunga Goli kumi na nne Cristiano Ronaldo aliyeshika nafasi ya pili kaishia kufunga Goli kumi wewe unasemaje kuna mchezaji anaweza kufunga Goli tano wakati takwimu zenyewe zinakwambia afu unasemaje izi mechi huzizangatii wewe hujui mechi za qualification ndio zinaanda washiriki bila qualification siongeoana ata moldova au Norway yupo kwenye hii michuano au wew unazani Haaland hapendi kucheza hii michuano qualification Ndio zilizomzuia. unasemaje Number hazileti uhalisia Nani kakwambia Njia rahisi yakupata data zenye uhalisia ni kwa kutumia Number mfano leo hii ukitaka kujua top score mwenye Goli nyingi kwenye Champions leauge History utatumia takwimu ya Namba ya magoli yaliowahi kufungwa na wachezaji waliofanikiwa kucheza kwenye hii michuano takwimu ndio zinatoa uhalisia wa jambo sio Hisia zako wewe au mimi
 
Goli 5 nimetolea mfano tu nikimaanisha qualification zina timu nyingi dhaifu kwaiyo sio sehemu nzuri sana ya kuangalia ubora wa wachezaji. Mimi shule ya msingi nilikua nashika nafasi ya kwanza darasani na form 1 nikafaulu kwenda Azania sekondary baada ya kufika pale sikuwa nashika namba moja tena kwa sababu nilikutana na batch ya wanafunzi bora kutoka uko walipomaliza std 7. ni kweli kuna timu nzuri huwa zinakwama kwenye qualifications mfano hao norway uliowataja lakini haiondoi ukweli kwamba katika qualification kuna timu nyingi dhaifu.
Hapana mkuu, sijasema number hazileti uhalisia completely nimesema "sometimes". Kuna factors ambazo hauwezi kuziweka kwenye namba lakini zina mchango mkubwa katika kuleta matokeo. Mfano tukiwalinganisha gadiora na unai emery ofcourse gadiora ataibuka mshindi lakini ikumbukwe kwamba gadiora ana wachezaji wa daraja la juu sana factor ambayo haizingatiwi, ukimpa unai hii man city anaweza kuchukua nayo premier hata uefa kabisa lakini nina uhakika gadiora hawezi kuingia top 4 na hii aston villa kama alivyofanya unai. Hapo juu nimetoa mfano wa de bryune na zidane kama haujawahi kuwaona hawa wawili wakicheza mpira na ukachukua kigezo cha takwimu tu bila shaka de bryne ataibuka mshindi lakini kama ushawahi kuwaona katika nyakati zao basi utakubaliana na mimi zidane alikua na balaa kubwa sana uwanjani. Ronaldo kwa sasa ameisha kabakiwa na magical moments mbili tatu tu na brand kubwa nje ya uwanja lakini kwa ujumla jamaa asipofunga ni mzigo uwanjani
 
ja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…