900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Huku tatizo ni ccm timu ikifanya vizuri siyo kama taifaI wish Tungekua na Mapenzi na Taifa Stars kama wenzetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku tatizo ni ccm timu ikifanya vizuri siyo kama taifaI wish Tungekua na Mapenzi na Taifa Stars kama wenzetu.
Ndio mzeya ureno kazingua.Afu
Afu game zote zimetoa goli firsthalf,kasoro ya jana. QMamae ureno😠
Lakini jamani mbona mpira unachezwa hadharani, jana beat moments za ureno first half mbona ronaldo ndio alihusika.Ronaldo utamlaumu bure tu wkt mipira ikikua haifiki kwake, midfield ilkua haimlishi
Nasikitika sana sijaiangalia hii gamemechi kali EURO2024 mpaka kufikia sasa ni gemu ya jana Uturuki na Georgia, ukiwa unaangalia mpira bila kujali majina ya timu unapata burudani.
Basi mechi zingine zote EURO2024 zilizochezwa changanya hazifikii hiyo moja. Kama unapenda mpira na ukiwa na muda angalia mechi zote maana kuna timu za ajabu ajabu zinapiga mpira mwingi mechi inakuwa kali full burudani.Nasikitika sana sijaiangalia hii game
mchezaji gani aliyetandika Goli tano peke ake kwenye mechi za qualification umtaje uyo mchezaji Top score Romeo lukaku kaishia kufunga Goli kumi na nne Cristiano Ronaldo aliyeshika nafasi ya pili kaishia kufunga Goli kumi wewe unasemaje kuna mchezaji anaweza kufunga Goli tano wakati takwimu zenyewe zinakwambia afu unasemaje izi mechi huzizangatii wewe hujui mechi za qualification ndio zinaanda washiriki bila qualification siongeoana ata moldova au Norway yupo kwenye hii michuano au wew unazani Haaland hapendi kucheza hii michuano qualification Ndio zilizomzuia. unasemaje Number hazileti uhalisia Nani kakwambia Njia rahisi yakupata data zenye uhalisia ni kwa kutumia Number mfano leo hii ukitaka kujua top score mwenye Goli nyingi kwenye Champions leauge History utatumia takwimu ya Namba ya magoli yaliowahi kufungwa na wachezaji waliofanikiwa kucheza kwenye hii michuano takwimu ndio zinatoa uhalisia wa jambo sio Hisia zako wewe au mimiMechi za qualifications sio za kufanya rejea maana uko kuna vitimu vya type ya san marino ambavyo unaweza kutandika hata goli 5 peke yako. Uero ya 2021 tayari portugal alikua na world class players wengi sana wa kumbeba ronaldo. Version ya Ronaldo mwenyewe ni baada ya kuondoka kizazi cha wakina figo, paulista n.k hapo kati ronaldo alibaki na wakina luis nani na quaresma ambao wana mambo mengi uwanjani lakino hawana impact ya maana na ndicho kipindi ambacho ronaldo aliibeba ureno yeye mwenyewe binafsi huyu ronaldo wa sasa hivi ni asipofunga hana impact nyingine uwanjani anakua mzigo tu wenzake ni mpaka umpe watu wazuri sana wambebe ila yeye mwenyewe binafsi hawezi sababu ashaisha, hata ivyo sometimes takwimu hazitengenezi picha sahihi ya uhalisia, mimi binafsi ninaamini zaidi ninachokiona kuliko takwimu. Uki-base sana kwenye takwimu unaweza kusema de bryne ni mkali kuliko zidane wa enzi zake.
Goli 5 nimetolea mfano tu nikimaanisha qualification zina timu nyingi dhaifu kwaiyo sio sehemu nzuri sana ya kuangalia ubora wa wachezaji. Mimi shule ya msingi nilikua nashika nafasi ya kwanza darasani na form 1 nikafaulu kwenda Azania sekondary baada ya kufika pale sikuwa nashika namba moja tena kwa sababu nilikutana na batch ya wanafunzi bora kutoka uko walipomaliza std 7. ni kweli kuna timu nzuri huwa zinakwama kwenye qualifications mfano hao norway uliowataja lakini haiondoi ukweli kwamba katika qualification kuna timu nyingi dhaifu.mchezaji gani aliyetandika Goli tano peke ake kwenye mechi za qualification umtaje uyo mchezaji Top score Romeo lukaku kaishia kufunga Goli kumi na nne Cristiano Ronaldo aliyeshika nafasi ya pili kaishia kufunga Goli kumi wewe unasemaje kuna mchezaji anaweza kufunga Goli tano wakati takwimu zenyewe zinakwambia afu unasemaje izi mechi huzizangatii wewe hujui mechi za qualification ndio zinaanda washiriki bila qualification siongeoana ata moldova au Norway yupo kwenye hii michuano au wew unazani Haaland hapendi kucheza hii michuano qualification Ndio zilizomzuia.
Hapana mkuu, sijasema number hazileti uhalisia completely nimesema "sometimes". Kuna factors ambazo hauwezi kuziweka kwenye namba lakini zina mchango mkubwa katika kuleta matokeo. Mfano tukiwalinganisha gadiora na unai emery ofcourse gadiora ataibuka mshindi lakini ikumbukwe kwamba gadiora ana wachezaji wa daraja la juu sana factor ambayo haizingatiwi, ukimpa unai hii man city anaweza kuchukua nayo premier hata uefa kabisa lakini nina uhakika gadiora hawezi kuingia top 4 na hii aston villa kama alivyofanya unai. Hapo juu nimetoa mfano wa de bryune na zidane kama haujawahi kuwaona hawa wawili wakicheza mpira na ukachukua kigezo cha takwimu tu bila shaka de bryne ataibuka mshindi lakini kama ushawahi kuwaona katika nyakati zao basi utakubaliana na mimi zidane alikua na balaa kubwa sana uwanjani. Ronaldo kwa sasa ameisha kabakiwa na magical moments mbili tatu tu na brand kubwa nje ya uwanja lakini kwa ujumla jamaa asipofunga ni mzigo uwanjaniunasemaje Number hazileti uhalisia Nani kakwambia Njia rahisi yakupata data zenye uhalisia ni kwa kutumia Number mfano leo hii ukitaka kujua top score mwenye Goli nyingi kwenye Champions leauge History utatumia takwimu ya Namba ya magoli yaliowahi kufungwa na wachezaji waliofanikiwa kucheza kwenye hii michuano takwimu ndio zinatoa uhalisia wa jambo sio Hisia zako wewe au mimi
Goli 5 nimetolea mfano tu nikimaanisha qualification zina timu nyingi dhaifu kwaiyo sio sehemu nzuri sana ya kuangalia ubora wa wachezaji. Mimi shule ya msingi nilikua nashika nafasi ya kwanza darasani na form 1 nikafaulu kwenda Azania sekondary baada ya kufika pale sikuwa nashika namba moja tena kwa sababu nilikutana na batch ya wanafunzi bora kutoka uko walipomaliza std 7. ni kweli kuna timu nzuri huwa zinakwama kwenye qualifications mfano hao norway uliowataja lakini haiondoi ukweli kwamba katika qualification kuna timu nyingi dhaifu.
Hapana mkuu, sijasema number hazileti uhalisia completely nimesema "sometimes". Kuna factors ambazo hauwezi kuziweka kwenye namba lakini zina mchango mkubwa katika kuleta matokeo. Mfano tukiwalinganisha gadiora na unai emery ofcourse gadiora ataibuka mshindi lakini ikumbukwe kwamba gadiora ana wachezaji wa daraja la juu sana factor ambayo haizingatiwi, ukimpa unai hii man city anaweza kuchukua nayo premier hata uefa kabisa lakini nina uhakika gadiora hawezi kuingia top 4 na hii aston villa kama alivyofanya unai. Hapo juu nimetoa mfano wa de bryune na zidane kama haujawahi kuwaona hawa wawili wakicheza mpira na ukachukua kigezo cha takwimu tu bila shaka de bryne ataibuka mshindi lakini kama ushawahi kuwaona katika nyakati zao basi utakubaliana na mimi zidane alikua na balaa kubwa sana uwanjani. Ronaldo kwa sasa ameisha kabakiwa na magical moments mbili tatu tu na brand kubwa nje ya uwanja lakini kwa ujumla jamaa asipofunga ni mzigo uwanjani
jana hiyo kavunja hiyo rekodi ambapo wewe umekazana ni mzigo
Tukubali kutokukubaliana. Wewe unaamini takwimu peke ake mimi naamini combination ya takwimu na ninachokiona uwanjani
Ha hahhahahahhaa
Hili tukio sikuliona emu nifafanulie kidgo
Nimemwekea mzigo mrefu uyo leo afanye jambo ushindi upatikaneCroatia mnaniachaje wanangu ?
Mh umewaamini Nini hawa wacroatia rafiki ?Nimemwekea mzigo mrefu uyo leo afanye jambo ushindi upatikane