Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Huyu Southgate naona anaanza kufeli sasa. Yanini kumuanzisha TAA kiungo na mtu hawezi kukaba na wakati yupo Gallagher na Mainoo bench. Timu inaelemewa sijui haoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Southgate ni mpuuzi sana🚮🚮Huyu Southgate naona anaanza kufeli sasa. Yanini kumuanzisha TAA kiungo na mtu hawezi kukaba na wakati yupo Gallagher na Mainoo bench. Timu inaelemewa sijui haoni
Alikua hajategemea kama kuna mtu anakuja.. Alikua akimcheki Saka yupo mbali..Yule beki wa Denmark alikuwa anashangaa nini wakuu?
Yule beki wa Denmark alikuwa anashangaa nini wakuu?